Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profileg
Gathoni Njuguna🇰🇪

@ThisIsGathoni

Mum| Actress | Radio Presenter | Content Developer | MC | Hype Mistress | That's all for now 😜
https://t.co/wb7jjtrwr5

ID:792699197258620929

calendar_today30-10-2016 12:06:31

3,9K Tweets

54,0K Followers

829 Following

Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profile Photo

Karibu nisahau nakuanga kasupu nikitaka 🤣🤣, anyway tune in to Radio Maisha tukiwa naye Kassim Mbui Tuesday yako imekuaje? Drop your area code below 👇🏾.


Karibu nisahau nakuanga kasupu nikitaka 🤣🤣, anyway tune in to Radio Maisha tukiwa naye Kassim Mbui Tuesday yako imekuaje? Drop your area code below 👇🏾. #MaishaCocktail #gathoninakassim #RadioPrinces
account_circle
Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profile Photo

Monday night edition ndio hii, Maishacocktail hewani in a few minutes tukiwa naye Kassim Mbui ndani ya Radio Maisha drop area code yako below 👇🏾😜


Monday night edition ndio hii, Maishacocktail hewani in a few minutes tukiwa naye Kassim Mbui ndani ya Radio Maisha drop area code yako below 👇🏾😜 #MaishaCocktail #gathoninakassim #RadioPrinces
account_circle
Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profile Photo

Ndio Sisi hao, 🔥 for the Maishacocktail Friday edition, fire 🔥 kama kawaida. Tune in 👊🏾 Geejoe The Deejay Kassim Mbui Radio Maisha drop your song request hapa kwa comment section.


Ndio Sisi hao, 🔥 for the Maishacocktail Friday edition, fire 🔥 kama kawaida. Tune in 👊🏾 Geejoe The Deejay Kassim Mbui Radio Maisha drop your song request hapa kwa comment section. #MaishaCocktail #RadioPrinces #gathoninakassim
account_circle
Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profile Photo

Niko hewani jamani, uko wapi na unaskiza ukiwa wapi? Tune in to Radio Maisha 102.7 FM, Nairobi frequency, drop area code yako below 👇🏾 Throw back Thursday.

Niko hewani jamani, uko wapi na unaskiza ukiwa wapi? Tune in to Radio Maisha 102.7 FM, Nairobi frequency, drop area code yako below 👇🏾 Throw back Thursday. #radioprincess #staarabikanagathoni
account_circle
Gathoni Njuguna🇰🇪(@ThisIsGathoni) 's Twitter Profile Photo

Ona tu watu kung'ara walai 😂😂, Angalia, tune in to Radio Maisha manze niko na wababas, tumeni request 😂😂 Kassim Mbui Geejoe The Deejay show will be lit kama kawaida unajua Friday Maisacocktail is fire 🔥🔥


Ona tu watu kung'ara walai 😂😂, Angalia, tune in to Radio Maisha manze niko na wababas, tumeni request 😂😂 Kassim Mbui Geejoe The Deejay show will be lit kama kawaida unajua Friday Maisacocktail is fire 🔥🔥 #MaishaCocktail #radioprincess #gathoninakassim
account_circle