Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profileg
Simba Sports Club

@SimbaSCTanzania

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

ID:3318397774

linkhttps://simbasc.co.tz/app calendar_today11-06-2015 03:30:05

20,3K Tweets

1,6M Followers

38 Following

Follow People
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Kikosi kitawasili kesho majira ya saa 12:40 alfajiri na baadae tutafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Tiketi zinaanza kuuzwa leo na natoa rai kwa kila Mwanasimba kununua tiketi yake mapema.'- Ahmed Ally.

'Kikosi kitawasili kesho majira ya saa 12:40 alfajiri na baadae tutafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Tiketi zinaanza kuuzwa leo na natoa rai kwa kila Mwanasimba kununua tiketi yake mapema.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Hii Simba ni yetu Wanasimba, ikifanikiwa ni yetu, ikianguka ni yetu. Sisi ndio wenye timu kusimama imara kuhakikisha timu yetu inafanya vizuri. Moja ya sababu ya kuwa pamoja na timu yako ni kuwa na kadi ya shabiki.'- Ahmed Ally.

'Hii Simba ni yetu Wanasimba, ikifanikiwa ni yetu, ikianguka ni yetu. Sisi ndio wenye timu kusimama imara kuhakikisha timu yetu inafanya vizuri. Moja ya sababu ya kuwa pamoja na timu yako ni kuwa na kadi ya shabiki.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Mechi yetu ya tarehe 25 dhidi ya KMC ni mechi ya kufa na kupona, ni mechi tunaingia kama mbogo. Viingilio ni Mzunguko - Tsh. 10,000, VIP C - Tsh. 15,000 na VIP A - Tsh. 30,000.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Yapo maneno mengi mitandaoni kwamba Mohammed Dewji (Mohammed Dewji MO) hatoi pesa lakini niwambie, Mohammed Dewji ni Simba na Simba ni Mohammed Dewji. Fedha yote ya usajili ya msimu huu anatoa Mohammed Dewji na mzigo ambao umetengwa ni kufuru. Mohammed Dewji tupo naye na usajili

'Yapo maneno mengi mitandaoni kwamba Mohammed Dewji (@moodewji) hatoi pesa lakini niwambie, Mohammed Dewji ni Simba na Simba ni Mohammed Dewji. Fedha yote ya usajili ya msimu huu anatoa Mohammed Dewji na mzigo ambao umetengwa ni kufuru. Mohammed Dewji tupo naye na usajili
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Simba mpya inakuja, Simba ya hatari inarejea, heshima ya mjini inarudi. Msimu ujao tukileta mechi hapa itakuwa mechi ya kusherekea.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Wachezaji ambao tutasajili ni wenye hadhi ya kucheza Simba na wenye njaa ya mafanikio. Msimu ujao hatutacheka na kima, tutaongeza ukali kwenye eneo la upinzani na ndani ya timu yetu.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Wachezaji wote ambao wanamaliza mikataba na tathmini inaonyesha bado tunawahitaji, tunawabakiza. Hakuna mchezaji ambaye bado tuna malengo naye ataondoka.'- Ahmed Ally.

'Wachezaji wote ambao wanamaliza mikataba na tathmini inaonyesha bado tunawahitaji, tunawabakiza. Hakuna mchezaji ambaye bado tuna malengo naye ataondoka.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Tunapaswa kuipambania timu yetu, kama tukiacha timu yetu tutakosa nafasi ya Ligi ya Mabingwa na tutapata hasara.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Nafasi bado ipo wazi ya kwenda Ligi ya Mabingwa msimu ujao lakini lazima tuambiane ukweli nafasi hiyo ni ngumu. Sisi kwa ukongwe wetu tukisimama imara Mnyama atapata nafasi.'- Ahmed Ally.

'Nafasi bado ipo wazi ya kwenda Ligi ya Mabingwa msimu ujao lakini lazima tuambiane ukweli nafasi hiyo ni ngumu. Sisi kwa ukongwe wetu tukisimama imara Mnyama atapata nafasi.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Wanasimba wa Arusha mna kazi kubwa ya kuhakikisha Simba inakwenda Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Msimu ujao tunahitaji kuongeza alama za CAF, na njia pekee ni kushikiri Ligi ya Mabingwa Afrika sababu ndio michuano yenye pointi nyingi.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Wanasimba wa Arusha ni watu wa kipekee, nusu na robo ya mkoa huu ni mashabiki wa Simba. Kwahiyo tumekuja nyumbani, tunaamini hapa nyumbani Arusha tutapata tunachokitaka. Mnyama kwa mapenzi yake Mungu na juhudi za Wanaarusha, Mnyama anakwenda kutakata Mei 25. Kuleta timu hapa sio

'Tumewaletea Wanasimba timu yao wafurahie kuiona. Sababu nyingine ni umuhimu wa mchezo wenyewe, wote mnafahamu tupo kwenye vita kubwa ya kupambania kwenda Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Mechi ngumu kama hizi lazima upeleke kwa watu wagumu wagumu, baada ya tathmini watu

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Mechi ilikuwa imeshapangiwa uwanja, na kutoka uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na kambini kwetu ni dakika mbili lakini tukasema tuipeleke Arusha wakaione timu yao. Mara ya mwisho Arusha kuiona Simba ilikuwa ni Novemba 22, 2020 tulicheza na Coastal Union na kuwafunga bao 7-0.'-

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa mapokezi mazuri na hii inaonyesha Wanasimba wana imani na timu yao. Tumeileta mechi Arusha kwa kutambua thamani na mchango wa Wanaarusha kuipambania

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

'Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.'- Ahmed Ally.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kutokea kwenye Tawi la Arusha Terminal, Semaji Ahmed Ally atanguruma kuzungumza na Wanasimba.

Tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania.

Kutokea kwenye Tawi la Arusha Terminal, Semaji Ahmed Ally atanguruma kuzungumza na Wanasimba. Tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
account_circle