Ms_Genya
@ScholaDecaprado
Industrial Relations Expert |
I Can't Compete with Your Mother and I Won't |
#SOSDiplomats |
SDG Champion, goal # 8 Decent Work and Economic Growth ✊ |
ID:1456188206
25-05-2013 06:41:20
218,3K Tweets
14,6K Followers
529 Following
Follow People
Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii na Waziri Mhe Angellah Kairuki
Hii ni baada wizara hii ya kuandaa maonyeho yenye Ubunifu kwa ajili ya kutangaza vivutio vya kitalii nchini vyenye lengo la kuelelimisha Watanzania hasa wabunge kwenye ⤵️..
Ni kwamba #JustFitYardSale itakayoanza kesho itakuwa na bidhaa nyingi sana kuliko Ile ya 2023.
Jinsi ya kufika kwenye Yard sale Fata hii Google Map
maps.app.goo.gl/NPUz1zjvW3J8gJ…
Mdau:Kesho utakuwa wapi?
Me: hujasikia kuna #JustFit Yardsale pale JustFit Arena, masaki
Aah kwaiyo kesho hadi jumapili kituo ni #JustFit
Nimempokea Mheshimiwa January Makamba, Waziri wa MFA Tanzania jijini Seoul leo. Mheshimiwa Waziri atakuwa sehemu ya ujumbe wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kwenye ziara ya kikazi anayotarajia kuifanya nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Yoon Suk yeol wa Jamhuri ya Korea.
Wiki hii katika Doctor Rafiki podacst tunaongelea lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Karibu tujifunze pamoja kupitia link:
open.spotify.com/episode/7EwaWN…
Unaweza pia kusikiliza podcast ya Doctor Rafiki kupiti app ya #Spotify au #Applepodcast .
#DoctorRafiki
Kesho ndio KESHO.
Yaani kesho Mei 31 ndo Tunakata UTEPE wa #JustFitYardSale ......
Kesho usichoke nakusihi kama upo Dar fika #MakaiRd Masaki opp na Agakhan Clinic.
Hii hutokea Once a year.
#Unakosaje ?
Vipi mkeka wa eneo lako umesoma au bado hujauona?
Ijumaa hii katika sehemu tajwa, cha kubeba ni NMB mastercard na simu yako tu.
#NMBFriyay
#NMBKaribuYako
TAWLA kupitia Mkuu wetu wa Programu, Wakili Mary Richard na kiongozi wa dawati la mawasiliano, itembaD tumepata fursa ya kukutana na Mkurugenzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi , Mh. Emmanuel Mkilia na msaidizi wake ndugu Vicent Mirumbe mapema mchana wa leo .
Katika mkutano huo, tumeweza
Wateja wangu wapendwa🥹hatakama ni saa 9 usiku best believe nitakuja kufanya kazi🔥Msakatonge sinaga closing hours…if im not booked i will come anytime bcz i love y’all like that🥰🙏🏽
For makeup booking
Call/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Mikocheni
#glammedbyqueeenminah