Richard Mabala
@MabalaMakengeza
ID:4916344677
15-02-2016 23:32:31
60,7K Tweets
294,7K Followers
1,4K Following
Ufuta sasa zao linaloongoza kuingiza Fedha za kigeni. Halina bodi wala mamlaka. Ni zao la mfano kwa Serikali kuunda sera ambazo sio kandamizi. Ufuta umekua BILA BODI ya zao. Wananchi wenyewe wanajiongoza na wanunuzi wananunua Hussein M Bashe