Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profileg
Idris

@IdrisSultan

โ€œSijui kituโ€ ๐ŸŽฌ๐Ÿ“บ๐Ÿฟ๐ŸŒฑ

ID:311028305

linkhttps://linktr.ee/Idrissultans calendar_today04-06-2011 19:32:57

85,6K Tweets

1,5M Followers

646 Following

Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Mfano umuambie mtoto wa mtu โ€œNitakusosomolaโ€ inakuwa unamfurahia etiiii eeeee ? Umsosomole kisawasawa ๐Ÿคท๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Kama bado form six wanatakiwa kushauriwa nini cha kusoma chuo ni wazi hawajajua nini wanataka kufanya kimaisha.

Hii mifumo ilikuwa tunashauriana โ€œSoma kitu flani hautakosa kazi kabisaโ€. Which means bado ni mfumo wa kusoma ili upate ajira (weak direction)

Ugumu wa kuwashauri cha

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa unapambana watakuambia hautafanikiwa, ukishafanikiwa watakuambia haustahili kuwa hapo. Ukikomaa na ukazidi kutoboa watasema walijua tuu ipo siku utafanikiwa na kwamba walikusapoti. Ukifeli watasema waliona dalili na ukirudi tena juu watakuambia wote waliokusema vibaya

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni nini ?
Ukweli ni kile kinachosemwa na kukubalika na wengi. Ukweli huwa unabadilika kulingana na mwenye nguvu ya kushawishi wengi zaidi juu ya ukweli mpya. Unaweza kuwa na wawili wenye kauli zinazopingana na wote wakawa wakweli.
Muongo wa leo atakuwa mkweli wa kesho.

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Siasa sio ajira, siasa ni kujitolea, kujitoa na kujitumikisha. Mshahara wa mwanasiasa ni โ€œAsante kwa kutenga muda wako, hii hapa utalisha familiaโ€โ€ฆ Ila sasaaaaa mamlaka yana tamaa, unakumbuka uliwahi kuwa monitor darasani na ukajiona kama mkuu wa shule mtu wa system mamlaka ya

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Labda kwasababu sikumalizia nimalizie kipande cha mwisho,

โ€œMaisha marefu yenye afya yanazingatia furahaโ€.

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na ajira utakula bila furaha
Ukiwa na passion utakuwa na furaha bila kula
Ukiifanya passion yako kuwa ajira utakula kwa furaha balaa.

account_circle
Idris(@IdrisSultan) 's Twitter Profile Photo

Dhumuni linaleta dhamira ambapo ndipo mipango na mikakati inafanyika katika kuleta tendo. Nia ni matamanio na huwa nia ikiwa kubwa ndipo unaweka dhumuni la kutumiza nia yako. Mkorogano yakinifu.

account_circle