Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profileg
Haki Ngowi

@Hakingowi

🌍 Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ®
💻📱 Post(Tweets) From Haki Ngowi News are signed hn+

ID:47989062

calendar_today17-06-2009 15:06:49

165,3K Tweets

444,1K Followers

9,1K Following

Follow People
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Mbeya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika…

📍Mbeya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

VIDEO:

WABUNGE WANOLEWA MKAKATI WA USHIRIKI WA MAKANDARASI WAZAWA MIRADI YA UJENZI.

📹:W/Ujenzi

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Tunguu Zanzibar

🇹🇿🇨🇳

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen mara baada ya kumaliza mazungumzo, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11…

📍IKULU,Tunguu Zanzibar 🇹🇿🇨🇳 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen mara baada ya kumaliza mazungumzo, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

▪️MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI - WAZIRI UMMY

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia Wajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha vitabu vinapatikana muda wote.

Waziri…

📍Dodoma ▪️MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI - WAZIRI UMMY Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia Wajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha vitabu vinapatikana muda wote. Waziri…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

‼️TAARIFA ‼️

▪️Rais Samia Suluhu Hassan Kuelekea Nchini Ufaransa Kwa Siku 4

Rais Dr. Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unaowakutanisha Wakuu wa Nchi mbalimbali duniani.…

‼️TAARIFA ‼️ ▪️Rais Samia Suluhu Hassan Kuelekea Nchini Ufaransa Kwa Siku 4 Rais Dr. Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unaowakutanisha Wakuu wa Nchi mbalimbali duniani.…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Tunguu Zanzibar

🇹🇿🇨🇳

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliowahusisha Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China…

📍IKULU,Tunguu Zanzibar 🇹🇿🇨🇳 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliowahusisha Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

VIDEO:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya ya Kipolisi Mtumba mkoani Dodoma tarehe 11 Mei 2024.

📹:O/Makamu wa Rais

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

Mhe, Mbunge Balozi Libereta Mulamula akichangia hoja wakati wa Semina iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi kwa Waheshimiwa Wabunge ili kuwajengea uelewa wa mikakati ya ushiriki wa Wakandarasi na Washauri Elekezi Wazawa kwenye miradi Leo

📸:W/Ujenzi

📍Dodoma Mhe, Mbunge Balozi Libereta Mulamula akichangia hoja wakati wa Semina iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi kwa Waheshimiwa Wabunge ili kuwajengea uelewa wa mikakati ya ushiriki wa Wakandarasi na Washauri Elekezi Wazawa kwenye miradi Leo 📸:W/Ujenzi
account_circle