HUDEFO
@HUDEFO
We are strategic foundation dealing with environmental conservation, waste management and recycling, advocacy and consultation
ID:1106027303707033600
http://www.hudefo.or.tz 14-03-2019 03:00:32
1,9K Tweets
1,1K Followers
1,3K Following
'Chukua tahadhari, Punguza ajali'
Dereva: Simama uonapo taa nyekundu, watembeaji: Vuka kwenye kivuko Cha watembea kwa miguu uonapo alama ya kuvua kwa watembeaji.
#AjaliSasaBasi #BodabodaSalama
Shukrani kwa Manispaa ya Lindi kwa ushirikiano.
Asante Afisa uvuvi,Afisa misitu,walimu -shule ya msingi Rahaleo na Afisa Afya kutoka Lindi manispaa kwa kushiriki nasi kusherekea siku ya Dunia huku tukitoa Elimu ya madhara ya plastics kwa wanafunzi mbalimbali na jamii pamoja.
Thank you Lindi Jogging Club for joining us during the Earth Day celebration.
The amazing commitment is - they promised to do cleanup each Saturday of the month.💚👍🤝
#earthday2024
#marinelitter
#oceanvonservation
#eprtz
Were successed to Launch our First Ever #RoadSafety YouthClub at University of Dodoma
Through this club we can create the game changer for #RoadSafety issues and catalyst for policy change.
'Future is here, Youth are wealth'
#RoadSafety Club #YouthCoalition #ClaimingOurFuture
Were successed to Launch our First Ever #RoadSafety YouthClub at University of Dodoma
Through this club we can create the game changer for #RoadSafety issues and catalyst for policy change.
'Future is here, Youth are wealth'
#RoadSafety Club #YouthCoalition #ClaimingOurFuture
Africa's facing a big problem, heat waves are hitting us more often and harder. It's not just about feeling too hot it's about serious dangers to our health and lives. Let's speak up for action on climate change. #ActNowOnHeatwaves #EndsFossilsFuel Rise up Movement
Tackling the dual challenges of youth unemployment and climate change, create opportunities for sustainable livelihoods, support skill development, entrepreneurship and green industries. We urge to empower youth and build a resilient tomorrow.
#ClimateResilientLivelihoods
Kuzidisha uzito (Uwezo wa ubebaji watu) katika chombo chako ni hatari kwako dereva na abiria wako.
'Ni hatari Chukua tahadhari, Ajari zinaua, zinapoteza wapendwa wetu na kupunguza nguvu kazi ya taifa'
#AjariZinazuilika #BodabodaSalama #RoadSafety