Gift Kimaro
@GiftKimaro7
Accountant| Entrepreneur|SocialMediaInfluencer| Yangasc ~|Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu ๐ช๐ช
ID:929275584227799040
11-11-2017 09:12:19
26,4K Tweets
7,1K Followers
2,4K Following
Follow People
๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐ข๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ง๐๐ก๐ข!
Ongezeko la watalii nchini ni;-
โกAjira zaidi kwa vijana wetu
โกKukua kwa hifadhi ya fedha za kigeni
โกKukua kwa biashara za wajasiriamali wetu.
#MamaYukoKazini
Je, unahitaji mkopo wa haraka na haufahamu ni wapi utapata? Acha kuwasumbua marafiki we wacheki tu Soft Finance . Wanatoa mkopo kuanzia laki tano ndani ya dk 45 tu.
Huku #SoftFinance hakuna longo longo, mkopo wao ni wa uhakika.
#MpangoPesa
Tunakushukuru kwa upendo usiokoma, na kwa kila tabasamu linaloendelea kutupa nguvu ya kusonga mbele!
Heri ya Siku ya MAMA Duniani!
Nani kama mama?
#MothersDay | #ElimikaWikiendi .
'Serikali itaendelea kutoa kipaumbele kwa kuboresha afya ya wanawake na watoto ili kupunguza vifo ili kuchochea uchumi jumuishi' #MamaYukoKazini
Je Wajua
Ni vigumu kunitofautisha na Mwanamziki anayeitwa Patoraking kutokea Nigeria, kutokana na Mwanamziki huyo kufanana na mimi kwa asilimia 99.9.
Watu wengi waananiita Patoraking wa Mbeya, nashindwa kusafiri kutokana na mshangao abiria wakisema niwaimbie๐
#ElimikaWikiendi
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐!
Wananchi 450,000 wameondokana na shida ya maji iliyodumu kwa muda mrefu.
Mama akiahidi, anatimiza.
#MamaYukoKazini
๐๐
๐๐ ๐ง๐ข ๐ฃ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฅ๐ ๐๐๐๐
Rufaa za Dar es Salaam kwa ajili ya CT-Scan sasa basi!
Mama amekusogezea huduma karibu nawe.
#MamaYukoKazini
Moja ya mafanikio makubwa serikali imefanya ni pamoja na kusogeza vituo vya afya karibu na wananchi huu ni mwonekano wa kituo cha afya Buza.
Serikali inahakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao.
#MamaYukoKazini
Mradi wa Maji wa Miji 28 Kilwa kumaliza adha ya maji kwa wananchi.
Utekelezaji wa mradi huo unaendelea na ukikamilika utanufaisha zaidi ya wakazi elfu 60 wa Kilwa Masoko na Kilwa Kivinje, na vijiji vitano vya Singino, Nangurukuru, Lingaula, Nchakama na Mavuji.
#MamaYukoKazini
Vijana na ๐๐๐๐ yao. Vijana wamepata mtetezi wa maslahi yao.
#MamaYukoKazini
๐๐๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐ฃ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฅ๐ ๐๐๐๐
Kila Mwananchi atafikiwa, maji kila kona, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa.
#MamaYukoKazini
Ikiwa una wasiwasi kwamba mtoto wako anaweza kuwa mgonjwa basi fika kituo cha Afya mara moja kwa ajili ya vipimo na matibabu.
#ElimikaWikiendi
Jambo bora unaweza kufanya ni kuwa mpole. Jambo la uhakika kabisa, mtoto hawezi kulia masaa 24(Siku Nzima). Na hiko kipindi cha mtoto kulia kitapita vile vile. Jukumu lako kwenye hizo nyakati ni kuhakikisha mtoto anakuwa salama kadri uwezevyo. #ElimikaWikiendi
Je wajua? Kulia ni hatua ya ukuwaji wa mtoto. Watoto wengi hupitia kipindi hiko, na kinaweza kudumu kwa takribani wiki saba. #ElimikaWikiendi
Wakati mwingine unajaribu kila njia lakini mtoto bado anapiga kelele. Kwa taarifa yako hio ni kawaida pia kwa watoto. Usikate Tamaa na Mtoto. Usiwe na wasiwasi hata kidogo. #ElimikaWikiendi
Je, ikiwa mtoto wangu hataacha kulia?
Usiwe na wasiwasi.
Kuna mambo mengi unaweza kujaribu ili kumnyamazisha na kumtuliza kwa kutumia miguso (Kumbato, na kadhalika) na sauti (Nyimbo, Mazungumzo ya ucheshi na kadhalika).
#ElimikaWikiendi
Kumbuka:
Ni muhimu kuwa mvumilivu na mtoto wako na kujaribu kutambua ni nini kinachomsababisha alie. Unaweza pia kuzungumza na daktari wa mtoto aliyekaribu yako au mtaalamu mwengine yeyote wa afya kwa maswali yoyote au kuondoa wasiwasi ulionao. #ElimikaWikiendi
Maumivu:
Ikiwa mtoto wako analia kwa sauti kubwa au kwa muda mrefu, au ikiwa analia pamoja na dalili zingine kama vile homa, kutapika, au kuhara, inaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya. Wasiliana na daktari wa mtoto wako ikiwa una wasiwasi wowote.
#ElimikaWikiendi
Kipindi cha baridi jitahidi kumvisha mtoto nguo nzito kiasi ili kupunguza athari za baridi. Pia jitahidi kumlaza mtoto sehemu ambayo haina joto jingi. #ElimikaWikiendi