MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profileg
MR BEN

@Eric__Bernard

Proud To Be Tanzanian,
TANZANIA KWANZA,
Retweets Are Not Endorsements,
Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.

ID:2877409326

calendar_today25-10-2014 23:15:37

266,4K Tweet

439,0K Takipçi

5,1K Takip Edilen

Follow People
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Leo Ndugu zangu tufanye kitu kimoja, Naamini ni hatua ndogo ndogo tunaweza kufanya kuleta madiliko.
Naomba tag watu wako wa karibu wasign hii petition, ile pedi either zipatikane kwa bei nafuu au Bure.
Unaweza usione uzito wa tatizo ila lipo na ni kubwa
bluefindigital.co.tz/msichana/

account_circle
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Sasa unaweza kuagiza Printer yako kwa matumizi ya Ofisini ama Nyumbani kwa bei poa.

Printer za 3 in 1 - PRINT - SCAN - PHOTOCOPY.

Zina Support pia na Wi-Fi✅
Za ku Re-Fill wino ukiisha✅

Tshs. 350,650/=

Agiza na Gadgetboxtz kwa unafuu hali ya juu!

Sasa unaweza kuagiza Printer yako kwa matumizi ya Ofisini ama Nyumbani kwa bei poa. Printer za 3 in 1 - PRINT - SCAN - PHOTOCOPY. Zina Support pia na Wi-Fi✅ Za ku Re-Fill wino ukiisha✅ Tshs. 350,650/= Agiza na @gadgetboxtz kwa unafuu hali ya juu!
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

NGO inayohitaji huduma ya kusafirishiwa mizigo (iwe documents, machapisho,banners,Stationaries, Kompyuta n.k) wanakaribishwa BajabirLogistics.

Ofisi zipo Kinondoni kwa Pinda, Dar es Salaam.

NGO inayohitaji huduma ya kusafirishiwa mizigo (iwe documents, machapisho,banners,Stationaries, Kompyuta n.k) wanakaribishwa @BajabirLogistic. Ofisi zipo Kinondoni kwa Pinda, Dar es Salaam.
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kampuni inayohitaji kusafirishiwa mizigo yake na BajabirLogistics ...kutokea Dar es Salaam kwenda mkoa au wilaya yeyote Tanzania.

📞 0672808100.

Kampuni inayohitaji kusafirishiwa mizigo yake na @BajabirLogistic ...kutokea Dar es Salaam kwenda mkoa au wilaya yeyote Tanzania. 📞 0672808100.
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Mbona wanaolalamika kwenye hii taarifa ni mashabiki wa Yanga? Shida nini? Mbona utaratibu mzuri tu huu wamekuja nao TFF 😂

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Hii siku Nilikua Dodoma Bambalaga Pale nilijikuta juu ya Meza 😂🙌

Hizi Raha Mashabiki wa Arsenal hawazijui kabisa 🙌

account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Mijadala ya kisiasa huwa na tija saana kwa mustakabali wa nchi na wananchi wake, Jun 5 SiasaZetu ni platform inayowakutanisha wanasiasa,na wananchi kwa pamoja ili kupata nafasi ya kujadili siasa za nchi yao hakikisha Hukosi hapa 👇

account_circle
Ummy Mwalimu🇹🇿(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

- Panel on Scaling up integrated models of care to address maternal and child mortality - side event organised by the African Union Commission Save the Children International and Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation . I shared Tanzania's success stories and challenges in reducing maternal and child mortality. Tanzania

#WHA77 - Panel on Scaling up integrated models of care to address maternal and child mortality - side event organised by the African Union Commission @save_children and @EGPAF . I shared Tanzania's success stories and challenges in reducing maternal and child mortality. Tanzania
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Mwonekano wa Daraja jipya la Jangwani pale itakavyokuwa..

Rais Samia Suluhu Hassan yupo serious kubadilisha Jiji la Dar es Salaam!!!

Mwonekano wa Daraja jipya la Jangwani pale itakavyokuwa.. Rais Samia Suluhu Hassan yupo serious kubadilisha Jiji la Dar es Salaam!!!
account_circle
Ummy Mwalimu🇹🇿(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

A well attended side event organised by Tanzania Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 on Strengthening Primary Health Care through implementation of the Intergrated and Coordinated Community Health Workers Program in Tanzania at the . We thank all partners for their commitment and support on the

A well attended side event organised by Tanzania @wizara_afyatz on Strengthening Primary Health Care through implementation of the Intergrated and Coordinated Community Health Workers Program in Tanzania at the #WHA77. We thank all partners for their commitment and support on the
account_circle
Suphian Juma Nkuwi(@SuphianJuma) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 29, 2024 mkoani mwetu Singida tuna ugeni mzito wa kichama wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dr. Nchimbi akiambatana na Katibu Mwenezi, Ndugu Makalla kukagua utekelezaji wa Ilani.

Singida chini ya M/kiti mahiri, Bi Mlata, kwa hakika wataridhika na utekelezaji wa ilani.

Leo Mei 29, 2024 mkoani mwetu Singida tuna ugeni mzito wa kichama wa Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania, Dr. Nchimbi akiambatana na Katibu Mwenezi, Ndugu Makalla kukagua utekelezaji wa Ilani. Singida chini ya M/kiti mahiri, Bi Mlata, kwa hakika wataridhika na utekelezaji wa ilani.
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

TANROADS kwa Mwaka ujao wa Fedha inaenda Kujenga Kilomita 385 kwa Kiwango cha lami...

Haijawahi kutokea hii.. Rais Samia amedhamiria Kuboresha Barabara Nchi Nzima!!! 🙌

TANROADS kwa Mwaka ujao wa Fedha inaenda Kujenga Kilomita 385 kwa Kiwango cha lami... Haijawahi kutokea hii.. Rais Samia amedhamiria Kuboresha Barabara Nchi Nzima!!! 🙌
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Bajeti ya Wizara ya Ujenzi..

Mradi mkubwa wa Kupunguza Msongamano Barabara za Dar es Salaam. Kilomita 165.16 zinaenda kujengwa kuendelea kuboresha Miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam!!!

Rais Samia ni balaa kwa Maendeleo 🙌🙌

Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.. Mradi mkubwa wa Kupunguza Msongamano Barabara za Dar es Salaam. Kilomita 165.16 zinaenda kujengwa kuendelea kuboresha Miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam!!! Rais Samia ni balaa kwa Maendeleo 🙌🙌
account_circle